Materials and Resources
Collection of information provided in different languages

Sustainable Nutrition Manual
Food, Water, Agriculture & Environment

This book was translated under the initiative and guidance of the Practical Permaculture Institute Zanzibar.

Big thanks goes out to the Rotary Club of Zanzibar for financing the translation process. A special thanks goes to all the contributors, first and foremost to the translators Aime Malik Maulid, Ahmed Maulid Haji and Nangula Heita-Mwampamba, and secondly to the people who have voluntarily contributed their time and knowledge: John Melau Laizer and Antje Förstele for proofreading, Said Bakar for Kiswahili Sanifu corrections, Bernadette Padua-Kirsch for facilitating, and Nangula Heita-Mwampamba for layouting and continued support.

The availability of resources about Permaculture in Kiswahili is still bare. The original book named "Sustainable Nutrition Manual" was published by the Ministry of Agriculture, Irrigation and Water Development Malawi with the endorsement of NeverEndingFood and World Food Programme Malawi. Thank you for that awesome work. This part of the manual is about Natural Systems and Sustainability. You will learn about the Nature Cycle and the Water Cycle and an understanding about Soil Fertility and the benefits of Diversity in Nature will develop. You will be introduced to Permaculture designs and sustainable living practices. You will find out about renewable and non-renewable resources and begin to understand the wider issues of sustainability.

Download now.

The translation of this book is to be seen as a work in progress with the aim to correct and improve the translations. For any input of this kind or further questions please contact us.

Mtaala wa Lishe Endelevu
Chakula, Maji, Kilimo & Mazingira

Kitabu hiki kimetafsiriwa kutoka lugha ya Kiingereza kwa uwezo na jitihada za Practical Permaculture Institute Zanzibar (PPIZ).

Tungependa kutoa shukrani kubwa kwa Rotary Club ya Zanzibar kwa kuwezesha utaratibu wa tafsiri hii kifedha. Shukrani zetu maalum tunatoa kwa wote waliochangia kazi ya tafsiri hii, kwanza kabisa kwa watafsiri wakuu: Maulid Ahmed Maulidi, Nangula Heita-Mwampamba na Ahmed Maulid Haji. Pili, tunawashukuru wengine waliochangia ujuzi na muda wao: John Melau Laizer na Antje Förstele kwa kuyapitia maandishi, Said Bakar kwa masahihisho ya Kiswahili sanifu, Bernadette Padua-Kirsch kwa uwezeshaji, and Nangula Heita-Mwampamba kwa mpangilio na kuunga mkono jitihada hizi.

Sehemu ya pili ya mwongozo huu inahusu mfumo wa kimaumbile na uimara. Katika sehemu hii utajifunza kuhusu mzunguko wa maumbile, mzunguko wa maji, na utajifunza pia kuhusu udongo wenye rutuba na faida zake. Vile-vile, sehemu hii itazungumzia kuhusu tofauti zilizopo kati ya maumbile.

Kipengele hiki cha mwongozo kitafafanua kuhusu mitindo tofauti ya kilimo cha kudumu na utaratibu wa Maisha iliyo imara. Utajifunza kuhusu rasilimali zinazoweza kutumika upya na zisizoweza kutumika tena.

Download now.

Tafsiri ya kitabu hiki imekuwa kazi endelevu, inayolenga kusahihisha na kuboresha maandishi muda wote. Kwa maoni yoyote ya aina hii, pamoja na maswali yoyote kuhusu yaliyomo, tunaomba uwasiliane na PPIZ kwa kupitia tovuti yetu. Nakara ya kitabu hiki kinapatikana bure kwenye tovuti yetu.